Forwarded from Russian House in Dar es Salaam (Russian House in Dar es Salaam Русский Дом в Дар эс Саламе)
📚 Tusome Vitabu vya Kirusi 🇷🇺
Leo tunazindua kipindi kipya kinachoitwa "Tusome Vitabu vya Kirusi" ambacho wageni wa Jumba la Urusi wanaelezea kuhusu vitabu vya Kirusi walivyowahi kusoma vilivyotafsiriwa kwa Kiswahili.
📖 Katika video ya kwanza mgeni anayeishi Unguja anasimulia juu ya kitabu kinachoitwa "Tembo". Baada ya kusoma, anagundua mambo mengi ambayo mtaweza kujua mkitazama video hii.
Watazamaji wetu, mnaweza kutembelea Jumba la Urusi na kusoma vitabu vya Kirusi pia, vinavyopatikana katika maktaba ya Jumba hilo.
👉Anwani: Barabara ya Sea View, Nyumba namba 1, karibu na Hospitali ya Aga Khan, Upanga, Dar es Salaam.
#РусскийДомвДарЭсСаламе #RussianHouseinDarEsSalaam #RtccDarEsSalaam #RtccTanzania #RussianBooks #RussianLiterature #RussianLiteratureInSwahili